-
1 Mambo ya Nyakati 29:25Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
25 Na Yehova akamfanya Sulemani kuwa mkuu sana machoni pa Waisraeli wote na kumpa fahari ya kifalme ambayo hakuna mfalme yeyote wa Israeli aliyewahi kuwa nayo kabla yake.+
-
-
Mhubiri 2:9Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
9 Basi nikawa mkuu, nikamzidi mtu yeyote aliyenitangulia Yerusalemu.+ Nami nikaendelea kuwa na hekima yangu.
-