-
Kutoka 21:7Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
7 “Mtu akimuuza binti yake kuwa mtumwa, hataondoka kama mtumwa wa kiume anavyoondoka.
-
-
Kumbukumbu la Torati 15:12Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
12 “Ikiwa uliuziwa ndugu yako, mwanamume au mwanamke Mwebrania, naye amekutumikia kwa miaka sita, basi katika mwaka wa saba unapaswa kumwachilia huru.+
-