Yoshua 24:13 Tafsiri ya Ulimwegu Mpya 13 Kwa hiyo niliwapa nchi ambayo hamkuipata kwa jasho lenu na majiji ambayo hamkujenga,+ nanyi mkakaa humo. Mnakula matunda ya mizabibu na ya mizeituni ambayo hamkupanda.’+
13 Kwa hiyo niliwapa nchi ambayo hamkuipata kwa jasho lenu na majiji ambayo hamkujenga,+ nanyi mkakaa humo. Mnakula matunda ya mizabibu na ya mizeituni ambayo hamkupanda.’+