-
Esta 1:12Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
12 Lakini Malkia Vashti akaendelea kukataa kuja, hakutii agizo la mfalme alilopewa na maofisa wa makao ya mfalme. Basi mfalme akakasirika sana, na ghadhabu yake ikawaka.
-