-
Zaburi 58:6Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
6 Ee Mungu, yavunje meno yao vinywani mwao!
Yavunje mataya ya hawa simba,* Ee Yehova!
-
-
Methali 30:14Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
14 Kuna kizazi ambacho meno yake ni mapanga
Na ambacho mataya yake ni visu vya kuchinjia;
Wanawanyafua watu wa hali ya chini duniani
Na maskini kutoka miongoni mwa wanadamu.+
-