-
Mwanzo 25:8Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
8 Kisha Abrahamu akakata pumzi na kufa baada ya kuishi maisha marefu, akiwa amezeeka na kuridhika, naye akazikwa pamoja na watu wake.*
-
-
2 Wafalme 22:20Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
20 Ndiyo sababu nitakuzika pamoja na mababu zako,* nawe utalazwa kwa amani katika kaburi lako, na macho yako hayataona msiba wote nitakaoleta mahali hapa.’”’” Kisha wakampelekea mfalme jibu hilo.
-