-
Ayubu 9:22-24Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
22 Yote ni sawa. Ndiyo sababu ninasema,
‘Yeye huwaangamiza wasio na hatia* na waovu pia.’
23 Mafuriko ya ghafla yakisababisha kifo ghafla,
Ataidhihaki hali ya kukata tamaa ya watu wasio na hatia.
Kama si yeye, ni nani basi?
-
-
Ayubu 34:9Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
9 Kwa maana amesema, ‘Mwanadamu hafaidiki
Kwa kujitahidi kumpendeza Mungu.’+
-
-
Zaburi 73:13Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
13 Kwa hakika nimeusafisha moyo wangu bure
Na kunawa mikono yangu katika ukosefu wa hatia.+
-