-
Kutoka 9:23Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
23 Kwa hiyo Musa akainyoosha fimbo yake kuelekea mbinguni, na Yehova akaleta ngurumo na mvua ya mawe, na moto* ukashuka duniani, na Yehova akafanya mvua ya mawe iendelee kunyesha juu ya nchi ya Misri.
-
-
1 Samweli 12:17, 18Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
17 Je, huu si wakati wa kuvuna ngano? Nitamwomba Yehova alete ngurumo na mvua; ndipo mtakapojua na kuelewa uovu mkubwa mliofanya machoni pa Yehova kwa kuomba mfalme awatawale.”+
18 Basi Samweli akamwomba Yehova, naye Yehova akaleta ngurumo na mvua siku hiyo, hivi kwamba watu wote wakamwogopa sana Yehova na pia Samweli.
-