-
Kutoka 9:24Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
24 Kulikuwa na mvua ya mawe, na moto ulikuwa ukiwakawaka katikati ya mvua hiyo. Mvua hiyo ilikuwa kubwa sana; mvua kama hiyo haikuwa imewahi kuonekana Misri tangu nchi hiyo iwe taifa.+
-
-
Ezekieli 13:13Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
13 “Kwa hiyo, Bwana Mwenye Enzi Kuu Yehova anasema hivi: ‘Nitasababisha dhoruba kali za upepo zilipuke kwa ghadhabu yangu, na mvua kubwa ya mafuriko kwa hasira yangu, na mvua ya mawe kwa ghadhabu inayoangamiza.
-