27Ilipofika asubuhi, wakuu wote wa makuhani na wazee wa watu wakashauriana pamoja kumhusu Yesu ili auawe.+2 Baada ya kumfunga, wakampeleka na kumkabidhi kwa Pilato, gavana.+
10 Hata hivyo, wakuu wa makuhani na waandishi wakaendelea kusimama na kumshtaki kwa ukali. 11 Ndipo Herode na wanajeshi wake wakamtendea kwa dharau,+ naye Herode akamdhihaki+ kwa kumvika vazi la kifahari na kuagiza arudishwe kwa Pilato.