Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Zaburi 119:147
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 147 Nimeamka kabla ya mapambazuko* ili nililie msaada,+

      Kwa maana maneno yako ni tumaini langu.*

  • Danieli 6:10
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 10 Lakini mara tu Danieli alipojua kwamba amri hiyo imetiwa sahihi alienda nyumbani kwake, na madirisha ya chumba chake kilichokuwa darini yalikuwa yamefunguliwa kuelekea Yerusalemu.+ Na mara tatu kwa siku alipiga magoti na kusali na kumsifu Mungu wake, kama alivyokuwa akifanya kwa ukawaida kabla ya mambo hayo.

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki