-
1 Samweli 19:12Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
12 Mara moja Mikali akamteremsha Daudi kupitia dirishani, ili akimbie na kutoroka.
-
-
Zaburi 18:48Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
48 Yeye huniokoa kutoka kwa maadui wangu wenye hasira;
Unaniinua juu ya wale wanaonishambulia;+
Unaniokoa kutoka kwa mtu mkatili.
-
-
Zaburi 71:4Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
4 Ee Mungu wangu, niokoe kutoka mikononi mwa mwovu,+
Kutoka katika makucha ya mkandamizaji asiyetenda haki.
-