-
Zaburi 21:8Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
8 Mkono wako utawapata maadui wako wote;
Mkono wako wa kuume utawapata wale wanaokuchukia.
-
-
Zaburi 108:6Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
6 Ili wapendwa wako waokolewe,
Tuokoe kwa mkono wako wa kuume na unijibu.+
-