-
Zaburi 84:1-4Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
Moyo wangu na mwili wangu humshangilia kwa sauti Mungu aliye hai.
3 Hata ndege hupata makao huko
Na mbayuwayu hujipatia kiota,
Ambamo huyatunza makinda wake
Karibu na madhabahu yako tukufu, Ee Yehova wa majeshi,
Mfalme wangu na Mungu wangu!
4 Wenye furaha ni wale wanaokaa katika nyumba yako!+
Wanaendelea kukusifu.+ (Sela)
-
-
Zaburi 84:10Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
10 Kwa maana siku moja katika nyua zako ni bora kuliko siku elfu moja kwingineko!+
Ninachagua kusimama kwenye kizingiti cha nyumba ya Mungu wangu
Badala ya kukaa katika mahema ya uovu.
-