Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mathayo 27:48
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 48 Mara moja, mmoja wao akakimbia, akachukua sifongo akailowesha katika divai kali akaiweka kwenye utete akampa anywe.+

  • Marko 15:36
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 36 Kisha mtu fulani akakimbia, akalowesha sifongo katika divai kali, akaiweka kwenye utete, akampa anywe,+ akisema: “Mwacheni! Acheni tuone kama Eliya atakuja kumshusha.”

  • Luka 23:36
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 36 Hata wale wanajeshi wakamdhihaki, wakamkaribia na kumpa divai kali+

  • Yohana 19:29
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 29 Hapo palikuwa na chombo kilichojaa divai kali. Basi wakaweka sifongo iliyojaa divai kali juu ya kijiti cha hisopo* na kukileta karibu na mdomo wake.+

Tanzanian sign language publications (2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki