Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Wafalme 4:25
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 25 Watu wa Yuda na Israeli waliishi kwa usalama, kila mtu chini ya mzabibu wake mwenyewe na chini ya mtini wake mwenyewe, kuanzia Dani mpaka Beer-sheba, siku zote za Sulemani.

  • 1 Mambo ya Nyakati 22:9
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 9 Tazama! Utazaa mwana+ atakayekuwa mtu wa amani,* nami nitampumzisha kutokana na maadui wake wote wanaomzunguka,+ kwa maana jina lake litakuwa Sulemani,*+ nami nitawapa Waisraeli amani na utulivu katika siku zake.+

  • Isaya 2:4
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    •  4 Atatekeleza hukumu miongoni mwa mataifa

      Na kunyoosha* mambo kuhusiana na watu wengi.

      Watafua panga zao ziwe majembe ya plau

      Na mikuki yao iwe miundu.+

      Taifa halitainua upanga dhidi ya taifa lingine,

      Wala hawatajifunza vita tena kamwe.+

  • Isaya 9:6
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki