-
Zaburi 35:6, 7Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
6 Njia yao na iwe na giza na utelezi
Malaika wa Yehova anapowafuatia.
7 Kwa maana bila sababu wameficha wavu wa kunitega;
Na bila sababu wamenichimbia shimo.
-