Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Zaburi 42:2
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    •  2 Nina kiu kwa ajili ya Mungu, kwa ajili ya Mungu aliye hai.+

      Nije lini na kuonekana mbele za Mungu?+

  • Zaburi 84:2
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    •  2 Nafsi yangu yote inatamani,

      Naam, ninazimia kwa kutamani,

      Nyua za Yehova.+

      Moyo wangu na mwili wangu humshangilia kwa sauti Mungu aliye hai.

  • Isaya 26:9
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    •  9 Usiku ninakutamani sana kwa nafsi yangu yote,

      Naam, roho yangu inaendelea kukutafuta;+

      Kwa maana hukumu zinapotoka kwako kwa ajili ya dunia,

      Wakaaji wa nchi hujifunza kuhusu uadilifu.+

Tanzanian sign language publications (2020-2026)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki