Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Matendo 13:33
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 33 Mungu ameitimiza kikamili kwetu sisi, watoto wao, kwa kumfufua Yesu;+ kama ilivyoandikwa katika zaburi ya pili: ‘Wewe ni mwanangu; leo nimekuwa Baba yako.’+

  • Waebrania 1:5
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 5 Kwa mfano, Mungu aliwahi kumwambia nani kati ya malaika: “Wewe ni mwanangu; leo nimekuwa baba yako”?+ Na tena: “Nitakuwa baba yake, naye atakuwa mwanangu”?+

  • Waebrania 5:5
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 5 Vivyo hivyo, pia Kristo hakujitukuza mwenyewe+ kwa kuwa kuhani mkuu, bali alitukuzwa na Yule aliyemwambia hivi: “Wewe ni mwanangu; leo nimekuwa baba yako.”+

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki