Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 32:18
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 18 Mlimsahau Mwamba,+ baba yenu aliyewazaa,

      Nanyi hamkumkumbuka Mungu aliyewazaa.+

  • 2 Mambo ya Nyakati 13:12
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 12 Sasa tazama! Mungu wa kweli yuko pamoja nasi, akituongoza, na makuhani wake wakiwa na tarumbeta za kutoa ishara ya vita dhidi yenu. Enyi wanaume wa Israeli, msipigane na Yehova Mungu wa mababu zenu, kwa maana hamtafanikiwa.”+

  • Yeremia 2:32
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 32 Je, bikira anaweza kuyasahau mapambo yake,

      Na bibi harusi mavazi yake ya kifuani?*

      Lakini watu wangu wamenisahau mimi kwa siku zisizohesabika.+

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki