-
Hesabu 11:1Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
11 Sasa watu wakaanza kulalamika kwa uchungu mbele za Yehova. Yehova aliposikia malalamiko yao, alikasirika sana, na moto kutoka kwa Yehova ukaanza kuwateketeza na kuwaangamiza baadhi ya watu waliokuwa kandokando ya kambi.
-