-
Hesabu 14:35Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
35 “‘“Mimi, Yehova, nimesema. Hivi ndivyo nitakavyoutendea umati huu wa watu waovu, ambao umekusanyika pamoja dhidi yangu: Wataishia humu nyikani, naam, watafia humu.+
-
-
Kumbukumbu la Torati 2:14Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
14 Tulitembea kwa miaka 38 kutoka Kadesh-barnea mpaka tulipovuka Bonde la Zeredi, mpaka kizazi chote cha wanaume wa vita kilipoangamia kutoka kambini, kama Yehova alivyokuwa amewaapia.+
-