-
Kutoka 14:30Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
30 Kwa hiyo Yehova akawaokoa Waisraeli siku hiyo kutoka mikononi mwa Wamisri,+ nao Waisraeli wakawaona Wamisri wakiwa wamekufa kwenye ufuo wa bahari.
-