Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 10:14, 15
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 14 Na nzige hao wakaja juu ya nchi yote ya Misri na kufunika eneo lote la Misri.+ Walikuwa wengi kupindukia;+ nzige wengi sana hivyo hawakuwa wamewahi kuonekana, wala nzige wengi sana hivyo hawangeonekana tena kamwe. 15 Waliifunika nchi yote, na nchi ikawa na giza kwa sababu yao; walitafuna mimea yote nchini na matunda yote mitini ambayo hayakuharibiwa na mvua ya mawe; hakuna majani yoyote yaliyobaki mitini wala kwenye mimea ya shambani katika nchi yote ya Misri.

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki