-
2 Mambo ya Nyakati 20:14Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
14 Ndipo katikati ya kutaniko, roho ya Yehova ikamjia Yahazieli mwana wa Zekaria mwana wa Benaya mwana wa Yeieli mwana wa Matania, Mlawi wa wana wa Asafu.
-