Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 1:8-10
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 8 Baada ya muda mfalme mpya ambaye hakumjua Yosefu akaanza kutawala Misri. 9 Akawaambia watu wake: “Tazameni! Waisraeli ni wengi zaidi na wenye nguvu kuliko sisi.+ 10 Acheni tushughulike nao kwa akili. La sivyo, wataendelea kuongezeka, na vita vikitokea, wataungana na maadui wetu na kupigana nasi na kuondoka nchini.”

  • 2 Mambo ya Nyakati 20:1
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 20 Baadaye Wamoabu+ na Waamoni,+ pamoja na baadhi ya Waamonimu,* wakaja kupigana vita na Yehoshafati.

  • Esta 3:6
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 6 Lakini alichukizwa na wazo la kumuua Mordekai peke yake, kwa maana alikuwa ameambiwa kuhusu watu wa Mordekai. Hivyo, Hamani akaanza kutafuta njia ya kuwaangamiza Wayahudi wote katika milki yote ya Ahasuero, watu wote wa Mordekai.

Tanzanian sign language publications (2020-2026)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki