-
Isaya 7:2Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
2 Habari ikapelekwa kwa nyumba ya Daudi: “Siria imeungana na Efraimu.”
Na moyo wa Ahazi na moyo wa watu wake ukaanza kutetemeka, kama miti ya msituni inavyotikiswa na upepo.
-
-
Isaya 7:5Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
5 Kwa maana Siria pamoja na Efraimu na mwana wa Remalia wamepanga njama ya kukudhuru, wakisema:
-