-
Waamuzi 8:10Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
10 Basi Zeba na Zalmuna walikuwa Karkori pamoja na wanajeshi wao wapatao 15,000. Hao tu ndio waliobaki wa jeshi lote la watu wa Mashariki,+ kwa kuwa wenzao 120,000 waliotumia upanga waliuawa.
-
-
Waamuzi 8:12Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
12 Zeba na Zalmuna walipokimbia, Gideoni aliwafuatia na kuwakamata hao wafalme wawili wa Midiani, Zeba na Zalmuna, na jeshi lao lote likaogopa.
-