Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Wafalme 4:30, 31
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 30 Hekima ya Sulemani ilizidi hekima ya watu wote wa Mashariki na hekima yote ya Misri.+ 31 Alikuwa na hekima kuliko mwanadamu mwingine yeyote; alikuwa na hekima kuliko Ethani+ Mwezra na Hemani,+ Kalkoli,+ na Darda, wana wa Maholi; umaarufu wake ulienea katika mataifa yote yaliyomzunguka.+

  • 1 Mambo ya Nyakati 2:6
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 6 Wana wa Zera walikuwa Zimri, Ethani, Hemani, Kalkoli, na Dara. Wote walikuwa watano.

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki