Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Nahumu 1:2
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    •  2 Yehova ni Mungu anayetaka watu wamwabudu yeye peke yake+ naye hulipiza kisasi;

      Yehova hulipiza kisasi naye yuko tayari kuonyesha ghadhabu yake.+

      Yehova hulipiza kisasi dhidi ya maadui wake,

      Naye hukusanya ghadhabu kwa ajili ya maadui wake.

  • Nahumu 1:6
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    •  6 Ni nani anayeweza kusimama mbele ya hasira yake kali?+

      Na ni nani anayeweza kustahimili joto la hasira yake?+

      Ghadhabu yake itamwagwa kama moto,

      Na miamba itavunjika-vunjika kwa sababu yake.

  • Malaki 4:1
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 4 “Kwa maana tazama! siku inakuja inayowaka kama tanuru,+ wakati ambapo wote wenye kimbelembele na wote wanaotenda uovu watakuwa kama majani makavu. Siku hiyo inayokuja kwa hakika itawateketeza,” asema Yehova wa majeshi, “nayo haitawaachia mzizi wala tawi.

Tanzanian sign language publications (2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki