-
Methali 4:18Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
18 Lakini kijia cha waadilifu ni kama nuru nyangavu ya asubuhi
Inayong’aa zaidi na zaidi mpaka mchana kamili.+
-
-
Mika 7:9Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
9 Ghadhabu ya Yehova nitaivumilia
—Kwa maana nimemtendea dhambi—+
Mpaka atakapoitetea kesi yangu na kutekeleza haki kwa ajili yangu.
Atanileta nje kwenye nuru;
Nitautazama uadilifu wake.
-