Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Zaburi 73:23
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 23 Lakini sasa niko pamoja nawe sikuzote;

      Umeushika mkono wangu wa kulia.+

  • Matendo 2:25-28
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 25 Kwa kuwa Daudi anasema hivi kumhusu: ‘Nimemweka Yehova* mbele yangu* daima, kwa maana yuko mkono wangu wa kulia ili nisitikiswe kamwe. 26 Kwa hiyo moyo wangu ulichangamka na ulimi wangu ukashangilia sana. Nami nitaishi* katika tumaini; 27 kwa sababu hutaniacha* Kaburini,* wala hutamruhusu mshikamanifu wako aone uharibifu.*+ 28 Umenijulisha njia za uzima; utanijaza shangwe nyingi mbele zako.’*+

Tanzanian sign language publications (2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki