Mwanzo 34:30 Tafsiri ya Ulimwegu Mpya 30 Basi Yakobo akawaambia Simeoni na Lawi:+ “Mmeniletea taabu kubwa* kwa kunifanya niwe uvundo kwa wakaaji wa nchi hii, Wakanaani na Waperizi. Nina watu wachache, nao kwa hakika wataungana na kunishambulia, nao wataniangamiza, mimi na nyumba yangu.”
30 Basi Yakobo akawaambia Simeoni na Lawi:+ “Mmeniletea taabu kubwa* kwa kunifanya niwe uvundo kwa wakaaji wa nchi hii, Wakanaani na Waperizi. Nina watu wachache, nao kwa hakika wataungana na kunishambulia, nao wataniangamiza, mimi na nyumba yangu.”