-
Yona 1:4Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
4 Ndipo Yehova akavumisha upepo mkali baharini, dhoruba* kali sana ikatokea baharini hivi kwamba meli ikawa karibu kuvunjika-vunjika.
-
-
Yona 1:13Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
13 Hata hivyo, wanaume hao wakapiga makasia kwa nguvu* ili kuirudisha meli kwenye nchi kavu, lakini wakashindwa kwa sababu dhoruba ilizidi kuwa kali.
-