-
Zaburi 64:9Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
9 Ndipo watu wote wataogopa,
Nao watatangaza mambo ambayo Mungu ametenda,
Nao watayafahamu matendo yake.+
-
-
Hosea 14:9Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
9 Ni nani aliye na hekima? Na aelewe mambo haya.
Ni nani aliye na busara? Na ayajue mambo hayo.
Kwa maana njia za Yehova zimenyooka,+
Na waadilifu watatembea katika njia hizo;
Lakini watenda dhambi watajikwaa humo.
-