Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Samweli 16:7, 8
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 7 Shimei alimtukana akisema: “Ondoka, ondoka, wewe mtu mwenye hatia ya damu! Wewe mtu asiyefaa kitu! 8 Yehova amekulipiza kwa sababu ya hatia yote uliyopata kwa kumwaga damu ya watu wa nyumba ya Sauli, ambaye umechukua mahali pake na kutawala ukiwa mfalme, lakini Yehova anautia ufalme mikononi mwa Absalomu mwana wako. Sasa msiba umekupata kwa sababu wewe ni mtu mwenye hatia ya damu!”+

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki