Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mambo ya Walawi 7:12
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 12 Ikiwa anaitoa ili kuonyesha shukrani,+ ataitoa dhabihu hiyo ya shukrani pamoja na mikate ya mviringo isiyo na chachu na iliyokandwa kwa mafuta, mikate myembamba isiyo na chachu na ambayo imepakwa mafuta, na mikate ya mviringo iliyookwa kwa unga laini uliochanganywa vizuri kabisa na kukandwa kwa mafuta.

  • Zaburi 50:23
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 23 Yule anayetoa shukrani kuwa dhabihu yake ananitukuza,+

      Na yule anayefuata njia iliyowekwa,

      Nitamfanya aone wokovu wa Mungu.”+

Tanzanian sign language publications (2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki