-
Yeremia 15:16Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
16 Maneno yako yalipatikana, nami nikayala;+
Na neno lako likawa furaha na shangwe ya moyo wangu,
Kwa maana nimeitwa kwa jina lako, Ee Yehova Mungu wa majeshi.
-