-
Zaburi 119:93Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
93 Sitayasahau kamwe maagizo yako,
Kwa sababu kupitia hayo umenihifadhi hai.+
-
-
Zaburi 119:100Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
100 Ninatenda kwa uelewaji mwingi kuliko wanaume wazee,
Kwa sababu ninayatii maagizo yako.
-