-
Zaburi 3:5Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
5 Nitajilaza chini na kulala usingizi;
Nami nitaamka nikiwa salama,
Kwa maana Yehova anaendelea kunitegemeza.+
-
-
Mhubiri 5:12Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
12 Usingizi wa mtumishi ni mtamu, iwe anakula kidogo au kingi, lakini wingi alionao tajiri haumruhusu kulala usingizi.
-