-
Mwanzo 13:8Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
8 Basi Abramu akamwambia Loti:+ “Tafadhali, pasiwe na ugomvi wowote kati yangu mimi na wewe na kati ya wachungaji wangu na wachungaji wako, kwa maana sisi ni ndugu.
-