-
Mathayo 27:35Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
35 Baada ya kumtundika kwenye mti, wakagawana mavazi yake ya nje kwa kupiga kura,+
-
-
Yohana 20:25Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
25 Basi wale wanafunzi wengine walikuwa wakimwambia: “Tumemwona Bwana!” Lakini akawaambia: “Nisipoona alama za misumari kwenye mikono yake na kutia kidole changu katika alama hizo kisha niutie mkono wangu ubavuni mwake,+ sitaamini kamwe.”
-