-
Zaburi 31:8Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
8 Hujanitia mikononi mwa adui,
Lakini unanifanya nisimame mahali salama.*
-
-
Zaburi 41:2Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
2 Yehova atamlinda na kumhifadhi hai.
-
-
Zaburi 41:11Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
11 Kwa njia hii nitajua kwamba unapendezwa nami:
Adui yangu asipoweza kupaza sauti kwa ushindi dhidi yangu.+
-