Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Zaburi 22:6
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    •  6 Lakini mimi ni mnyoo wala si mwanadamu,

      Ninadhihakiwa na wanadamu na kudharauliwa na watu.*+

  • Zaburi 42:10
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 10 Maadui wangu wananidhihaki kwa chuki kali sana;**

      Mchana kutwa wananidhihaki wakisema: “Mungu wako yuko wapi?”+

  • Zaburi 102:8
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    •  8 Mchana kutwa maadui wangu wananidhihaki.+

      Wale wanaonidhihaki* wanatumia jina langu kama laana.

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki