Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Nehemia 6:16
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 16 Mara tu maadui wetu wote waliposikia habari hiyo na mataifa yote jirani yalipoona jambo hilo, wakaaibika sana,+ nao wakatambua kwamba kazi hii ilikuwa imefanywa kwa msaada wa Mungu wetu.

  • Isaya 41:11
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 11 Tazama! Wale wote wanaowaka hasira dhidi yako wataaibishwa na kufedheheshwa.+

      Wale wanaopigana nawe watafanywa kuwa si kitu na wataangamia.+

  • Yeremia 20:11
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 11 Lakini Yehova alikuwa pamoja nami kama shujaa anayetisha.+

      Ndiyo sababu wale wanaonitesa watajikwaa nao hawatashinda.+

      Wataaibishwa sana, kwa maana hawatafanikiwa.

      Fedheha yao ya milele haitasahauliwa.+

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki