-
Danieli 3:17Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
17 Ikiwa ni lazima iwe hivyo, Mungu wetu tunayemtumikia anaweza kutuokoa kutoka katika tanuru hilo lenye moto mkali, Ee mfalme, na kutuokoa kutoka mikononi mwako.+
-
-
Danieli 6:23Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
23 Mfalme akafurahi sana, akaamuru Danieli atolewe ndani ya lile shimo. Danieli alipotolewa shimoni, hakuwa amepatwa na madhara yoyote, kwa sababu alikuwa amemtumaini Mungu wake.+
-