Isaya 10:3 Tafsiri ya Ulimwegu Mpya 3 Mtafanya nini katika siku ya kuadhibiwa,*+Uharibifu utakapokuja kutoka mbali?+ Mtamkimbilia nani ili kupata msaada+Nanyi mtauacha wapi utajiri* wenu?
3 Mtafanya nini katika siku ya kuadhibiwa,*+Uharibifu utakapokuja kutoka mbali?+ Mtamkimbilia nani ili kupata msaada+Nanyi mtauacha wapi utajiri* wenu?