-
Mhubiri 12:11Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
11 Maneno ya wenye hekima ni kama michokoo ya kuongozea ng’ombe,+ na misemo yao iliyokusanywa ni kama misumari iliyopigiliwa ikawa imara; yametolewa na mchungaji mmoja.
-