-
Methali 3:21, 22Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
21 Mwanangu, zisiondoke machoni pako.*
Ilinde hekima inayotumika na uwezo wa kufikiri;
22 Zitakupa uzima
Na kuwa pambo shingoni mwako;
-