Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 25:1
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 25 “Watu wakizozana, wanaweza kwenda kuwaona waamuzi,+ nao wataamua kesi yao na kumtangaza mtu asiye na hatia kuwa mwadilifu na aliye na hatia kuwa mwovu.+

  • 1 Wafalme 8:31, 32
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 31 “Mwanadamu akimtendea dhambi mwanadamu mwenzake, naye aapishwe* na kuwekwa chini ya wajibu wa kiapo hicho,* naye akiwa chini ya kiapo* aje mbele ya madhabahu yako katika nyumba hii,+ 32 basi usikie kutoka mbinguni na kuchukua hatua na kuwahukumu watumishi wako kwa kumtangaza yule mwovu kuwa na hatia na kumwadhibu kwa sababu ya jambo alilotenda,* na kumtangaza mwadilifu kuwa asiye na hatia* na kumthawabisha kulingana na uadilifu wake mwenyewe.+

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki